Текст песни
Для этой песни доступен текст без караоке-подсветки.
Ulinipa skio, nikapea wazo langu Ulinipa mkono, nika weka roho yangu Kaniangalia, sikiweza jifahamu Kajishawishi, yako ni mbavu yangu Ulikosea mume, kakuvumilia we Na sasa sioni mbele, kwani huongei? Njoo uniambiye baby,usinyamaze bure Mapenzi yetu yarege Kama unashida, sema Kama unashida, sema Mahaba ni tamu, ila sumu ukinyamaza Kama unashida, sema Nilitunga wimbo Nikamwaga roho yangu Sijui kuwa single Namumisi Yule wangu Naendanga nikirudi Niujana na kiburi Si ujanja si vizuri Hii michezo ya tauni Kweli kosa yamwenzio yasifute Mazuri Ila kenye husema na kenye hutenda ni tofauti Aki rudi si unirudie Mpenzi nihurumie Siezi taka wanachungie Shamba langu wanyunyuzie Ogwela mama polo dudo ka weche okethore Wuoi siro Omuga kabisari koro sandore
Crystal Asige, Okello Max — Sema
«Sema» — Crystal Asige, Okello Max. Читайте текст песни, слушайте запись онлайн бесплатно или скачайте mp3. Длительность записи — 3:31. Жанр — Поп.
