Текст песни
Hehe, We kwetu, cheza udugu we. Eila. Lala Deus. Ninadumisha udugu, hazina yangu. Niko pega kwa pega mama na udugu wangu. Kutunza seti na madini, zo shida zangu. Ndio maana nampenda ananipa mwenzaangu. Oh jamaa ninadumisha udugu, hazina yangu. Niko pega kwa pega mama na udugu wangu. Kutunza seti na madini, zo shida zangu. Ndio maana nampenda ananipa mwenzaaangu. Jamaa nitakuwa live, kwa udugu wangu. Nasema leo ntakuwa live, kwa udugu wangu. Leo ntakuwa live, Na leo ntakuwa live. Leo ntakuwa live, Na leo ntakuwa live. Leo ntakuwa live, Na leo ntakuwa live. Udugu wangu unambambamba kwa kweli. Nakutunza value minikimeli. Kwa shida na raha wana usijali. Jamaa ningetungezaliwa pamoja, Sio siri. Nikipika we unafua. Udugu wangu, sio nguo mpaka bwana tunashare. Jamaa nitakuwa live, kwa udugu wangu. Nasema leo ntakuwa live, kwa udugu wangu. Sheeh, Leo ntakuwa live, Na leo ntakuwa live. Leo ntakuwa live, Na leo ntakuwa live. Leo ntakuwa live, Na leo ntakuwa live. Mwacheni atabe udugu wangu wa enjoy leo. Udugu niko pembeni ni mtoto akilewa. Small kitamba cha upe tuko pamoja. Udugu hata nikilewa aniya kibe. Oh jamaa nijishawhe, jishongodohe. Mwenza ujishawhe, wasokujua kujue. Oh jamaa nijishawhe, jishongodohe. Mwenza ujishawhe, wasokujua kujue. Kamzima jishawhe, jishongodohe. We dada jiyashwe, wasokujua kujue. Kamzima. Singeli kiri, Kiri. Na Jamaica Mekas gang, Gang, gang. Ai, whatsup, whatsup, wisup, wisup. Abebi Maina, Humaira, Yadam, Awe Elliot Kimwanya. Leo ntakuwa live, Na leo ntakuwa live. Leo ntakuwa live, Na leo ntakuwa live. Kwa udugu wangu. Venger TV. Big M. Big M. Big Sound Music.
Chudy — Udugu Wangu
«Udugu Wangu» — Chudy. Читайте текст песни и подпевайте с караоке-подсветкой: строки текста подсвечиваются в такт музыке. Слушайте онлайн бесплатно или скачайте mp3. Длительность записи — 3:51. Жанр — Этническая.
