Текст песни
Utakanyaga. Tunakwambia utakanyaga. Utakanyaga. Kinde, kinde. Tunakwambia utakanyaga. Oya ukimtongoza demu wangu naujua umeakanyaga. Yaani nikijua unaluka naye naujua umeakanyaga. Shoga ukitoka na mwanaangu naujua umeakanyaga. Nikijua unajitina nae naujua umeakanyaga. Na ndo ujua utakanyaga. Nakwambia utakanyaga. Na ndo ujua utakanyaga. Ndio nakwambia utakanyaga. Nikikukosa late, nakupiga mbagathi. Oya nikibonya, nikiinuka na kifuchi. Nikikukosa late, nakupiga mbagathi. Shoga nikibonya, nikiinuka na ki-Pepsi. Kwanza utanipa kete, utanipa sesio. Ntakupiga mpaka nikuwe tungawane majengo. Mimi ninacha noti, unaleta umalizo. Wepiga ile sijue ntakutoa mapengo. Shoga ukitoka na mwanaangu naujua umeakanyaga. Nikijua unajitina nae naujua umeakanyaga. Na ndo ujua utakanyaga. Nakwambia utakanyaga. Na ndo ujua utakanyaga. Ndio nakwambia utakanyaga. Sheeh! Utanijua kama mi nicheze face. Ukilia zisha tifu minaamsha majeshi. Ah, hapa nakaba kama Messi. Unapenda vitamu jioni ntakupa vi-Pepsi. Mwanzako natumia pesa usifanye kisela. Baby wangu minampendezesha usilete masuala. Aah, aah. Aah, aah. Aah, aah. Aah, aah. Aya twende magofi matatu juu. Magofi matatu juu. Mwanangu magofi matatu juu. Magofi matatu juu. Pigia besi namba moja. Pigia besi namba mbili. Pigia besi namba tatu. Sheeh! Pigia besi namba nne. Unatakakocheza usiogope machwele Unatakakocheza Usiogope machwele watu. Sheeh! Cheza unavyowenza kama vipicheza pep. Cheza unavyowenza kama vipicheza pep. Ona mama dola muli mnene ndo banana. Tanua dola tanua, tanua, tanua basi tanua, Tanua, tanua, sheeh, tanua kule tanua. Atingiri kiri. Kiri. Na Jamaica meka the gang. Gang. Wazo. Wizo. Wizo. Abebi maina. Umaira. Umaira. Pige zoti mabara. French Dizziz. Big up man, big up man. Big Sound Music.
Chudy — Ume Yakanyaga
«Ume Yakanyaga» — Chudy. Читайте текст песни и подпевайте с караоке-подсветкой: строки текста подсвечиваются в такт музыке. Слушайте онлайн бесплатно или скачайте mp3. Длительность записи — 3:47. Жанр — Этническая.
