Текст песни
I look at you, nashindwa nikuambie aje. Katu ngejua vile uko fa, for sure I like Your pretty face siri unapendeza. That's why hii kitu ndani yangu haishi kunisumbua. I can't sleep pia mama, siwezi rest. Nyumba kinakuwaza day and night. Picha yako imenikwamia kwa macho, Sioni mbele. Labda tu mama uniongoze. Kuna kitu, kuna kitu ndani yangu, Linanifanya nitaka niwe nawe. Kuna kitu, kuna kitu ndani yangu, Linanifanya nitaka niwe nawe. Milele, Milele, Milele, Mi na we. Chances kwa maisha ni rare na kama nimepata hii Time kukwambia sijui utachukuliaje mama. Ka ungeza kunitazama macho, I got love for you From the beginning. Na hifahi hawezi die, na picture, Picture perfect tukiwa different places. Me and you tunarock na kaa jana na leo Nitakukume happy na kesho bado ntarara next to you. Kuna kitu, kuna kitu ndani yangu, Linanifanya nitaka niwe nawe. Kuna kitu, kuna kitu ndani yangu, Linanifanya nitaka niwe nawe. Milele, Milele, Milele, Mi na we. Mi na we, Mi na we. Kuna kitu, kuna kitu ndani yangu, Linanifanya nitaka niwe nawe. Milele. Kuna kitu, kuna kitu ndani yangu, Linanifanya nitaka niwe nawe. Kuna kitu, kuna kitu ndani yangu, Linanifanya nitaka niwe nawe. Milele, Milele, milele, Mi na we. Yeah, Milele
David Guetta - Usher — Milele
«Milele» — David Guetta - Usher. Читайте текст песни и подпевайте с караоке-подсветкой: строки текста подсвечиваются в такт музыке. Слушайте онлайн бесплатно или скачайте mp3. Длительность записи — 2:59. Жанр — Кантри.
