Текст песни
Wakati ulewadia kutekwa na dunia, Ah. Na wote wakimia kuchota fasinia, Eh. Linda kahwi yako sije kuisha, Mm. Watu wabina sijui kachosha, Mm. Linda kahwi yako sije kuisha, Mm. Watu wabina sijui kachosha, Eeh. Wauliza ni nani aleta miradi na mizani. Vingwao fani na mistari ya nini hatari. Nachoka vistari utadhani ya nini ustadi. Zaliwa na sanaa kwa damu ya niko ndani. Wauliza Ni nani aleta miradi na mizani. Vingwao fani na mistari ya nini hatari. Nachoka vistari utadhani ya nini ustadi. Zaliwa na sanaa kwa damu ya niko ndani. Wengi kudhania kwa hapa ngefikia, Ah. Shanga akuniona jino takuzimia, Eh. Wengi kudhania kwa hapa ngefikia, Ah. Shanga akuniona jino takuzimia, No. Milima na mapote nimepitia yote nikosa Nijipate, Eh. Kifima nikichote na nnyushwa siku zote, Milele nisikose. Wauliza ni nani aleta miradi na mizani. Vingwao fani na mistari ya nini hatari. Nachoka vistari utadhani ya nini ustadi. Zaliwa na sanaa kwa damu ya niko ndani. Wauliza ni nani aleta miradi na mizani. Vingwao fani na mistari ya nini hatari. Nachoka vistari utadhani ya nini ustadi. Zaliwa na sanaa kwa damu ya niko ndani.
gleb filipchenkow, Mwongeli — Kawi
«Kawi» — gleb filipchenkow, Mwongeli. Читайте текст песни и подпевайте с караоке-подсветкой: строки текста подсвечиваются в такт музыке. Слушайте онлайн бесплатно или скачайте mp3. Длительность записи — 6:26. Жанр — Электроника.
